MINISTRY OF NATURAL RESOURCES AND TOURISM
Forest Industries Training Institute (FITI)


Sustainable Forest Industries


FITI News

TANGAZO
Mkuu wa Chuo cha Viwanda vya Misitu anapenda kuwatangazia wananchi kuwa maombi ya kujiunga na chuo kwa mwaka 2016/2017 sasa yatapitia NACTE kwenye Mfumo wa Pamoja wa Udahili badala ya Fomu zilizotolewa hapo awali. Hivyo  tunaomba waombaji wote watumie wavuti ya NACTE. Bonyeza hapa kwa maelezo zaidi.

MKUU WA CHUO
FITI-MOSHI